Monasha
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 561
- 422
Habari wakuu. Bila shaka kama siyo kuwa mgeni basi nipo nyuma kwa suala la chrome based computers. Hizi computers nimezikuta sana kwenye company nilioajriwa. Sikuwahi kuziona madukani zikiwa kwenye soko
Kwa yoyote mwenye kujua hasa maduka yanayouza hizi chromes anijuze. Zipo za samsung, dell, lenovo na zingine za aina nyingi.
Nimetokea kuzipenda hizi computers kwa ufanisi wao hasa kwa masuala ya kiofisi.