Msaada wa firmware

Infopaedia

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
1,231
1,489
Habari zenu wakuu. Naomba msaada kwa mwenye firmware ya Galaxy gt n8000. Asanteni sana.
 
b859f90bf19281304ecae5834cdcced7.jpg


Link za firmware za samsung zote
 
Sammobile nao kumbe cku izni wapuuz.. Mi nimetumis muda sana haikua na matatizo... Thnx kwa ushauri zaidi
Yaa wanabana speed ni 15kb/s otherwise uwe na premium account
Unaeza cancel file lako kwa hasira
 
Yaa wanabana speed ni 15kb/s otherwise uwe na premium account
Unaeza cancel file lako kwa hasira
Wapuuz kweli.. Sasa mimi naanzaje kununua premium account wakati zipo sehemu kibao files ni bure... C unajua cc watanzania tulivo maskangaga
 
Asante sana kaka. Nilijaribu ila regular download iko slow mpaka inakatisha tamaa. Nilidhani hapa jamvini naweza nikapata msaada wa haraka zaidi.
Pole sana ndugu. Ndo changamoto za kazi mimi binafsi hio sina kwa pc . so jaribu hizo link kuna jamaa amesema hio samsony.com ina speed nzur..
 
Mimi niliingia juzi sammobile nikafanikiwa kudownload firmware update ya samsung A5 baada ya kuangaika sana
 
Hapo sammobile tumia program ya idm kupakua file kwa njia hii faster unakuwa huna tofauti na premium ac.ukipakua kwa njia ya browser utakesha
 
sisi wengine washamba jaman, tunaomba mtufahamishe firmware ni kitu gan na inafanya kazi gan? maana huwa naiona tu kwenye cm lkn cjui kaz yake
 
Hapo sammobile tumia program ya idm kupakua file kwa njia hii faster unakuwa huna tofauti na premium ac.ukipakua kwa njia ya browser utakesha
Hata kwa idm bro speed ni yakibwege labda kama skuiz wmeachia speed kweny idm
 
Ipo safii majuzi tu mimi nimedownload huko kwa speed kaliii ya mwendo kasi
Hapana mkuu naomba ujaribu kudownload firmwares from sammobile kwa regular via idm yako nione hyo speed unayopata..uweke picha hapa ya speed mkuu
 
Back
Top Bottom