Msaada: Namna ya kujua watu walionitafuta kwenye simu muda nikiwa sipatikani

security

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
322
75
Kama nikiwa out of network nataka niwe napata message za watu walionitafuta nikiwa kwenye network.
 
Vodacom walikua na huduma ya who called labda jaribu kupiga customer care uwaulize kwa hiyo mitandao unayokusudia kutumia
 
Back
Top Bottom