Kibishi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 1,139
- 1,028
Dah,mtandao wa tiGO kwenye internet ni wa kipuuzi,unakosesha raha baadala ya mtu ku-enjoy,page ina-load weeeeeee.....!!!! mpaka inakata yenyewe,ukinunua bando linaisha ukiwa umefanya machache katika mengi uliyokusudia.
Kwanza tiGO inamaliza chaji ya simu haraka kwa nguvu nyingi inayotumia bila mafanikio.Ukitumia 2G ili uokoe chaji ni shida,ukitumia 3G ili u-download speed yake ni kichefuchefu.
Wahudumu wake washamba,vitu vingine vinavyohusiana na mtandano wao ukiwauliza hawajui.
Voda na ninyi mshaanza kuwa kama tiGO,shauri yenu,mtahamwa,watu hatuangalii majina,tunaangalia ubora.
Hapa kilichobaki ni kuhamia halotel mazima,halotel ndiyo jembe la uhakika,mi' mwenyewe nawakubali.