Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,068
Hi jf.. Wale wote mlio na tecno y3+ kutoka tigo ambazo hazifanyi kazi bila lain ya tigo na 3g inasoma kwa line moja tu yaan ya tigo.. Tunatibu hilo tatizo sim yako itafanya kazi bila line ya tigo na itapandisha mtandao wa 3g line zote.. Gharama ni ndogo offer kwa dar ni 10000/= kama upo serious ni PM au reply hapo chini.... Tanga pia tawi lipo......