Msaada jinsi ya ku unlock madem ya Tigo 303E Huawei

Jerry santonga

JF-Expert Member
Oct 12, 2014
644
553
WAKUU HABARI ZENU Nimejaribu kufuatilia labda kutakuwa na uzi wowote uliojumuisha jinsi ya kuunlock modem za tigo huawei 303e ili itumie line zote bila mafanikio sijapata....
NAOMBENI MSAADA WENU TAFADHALI
 
Back
Top Bottom