jitupori
Senior Member
- Feb 22, 2015
- 199
- 76
Habari za wakati huu wadau????
Ebhana hii simu tecno C8 inanichanganya sana hii simu ni kwamba niliponunua nlipewa na charger yake na ikawa inapokea chaji vizuri tuu sasa kwa bahat mbaya ile charger ikawa ineharibika ivo nikaamua kununua USB charger nyngne cha kushangaza ni kuwa hii charger inanyonya chaji ya kwenye simu yaani jimejaribu kubadilisha charger lakini bado tatizo la kupungua kwa chaji wakati na charge simu inanichanganya sana hii labda kama kuna mtu anafaham njia nyingne ya kutatua tatizo hili msaada wa kiufundi tafadhali
NB: hata kama nikiizima simu na kuamua kucharge nakuta battery 0%