BabM
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 1,166
- 953
Wakuu naombeni msaada ninatumia laptop vaio yenye kutumia window 8.1 sasa nına modem ya halotel ambayo nimeanza kuitumia kama wiki hivi. Kila ninapoitumia baadaya ya muda inafreeze laptop ambapo mpaka niizime na kuiwasha tena. Modem yenyewe ınaonekana anapata moto sana ıkıfanya hivyo wakati mwingine nikiitumia kiasi ya nusu saa tu hivi inagoma. Naombeni ushauri