CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,628
- 990
Wengi wetu tumeliona hili tangu TCRA wafungie simu bandia ili kutokomeza simu bandia. Lakini cha kushangaza Samsung nyingi sana ambazo sio bandioa zimekuwa katioka mkumbo huo, wengi wetu walikosa majibu na vilevile serikali haikuandaa vituo ambavyo watu waliokutana na kadhia hii waweze kwenda kuzikagua simu zao. Maana unaenda tigo offices kwakuwa wao wanataka kuuza simu zao basi wanakuambia tupa pale tukupe hii kwa bei nzuri, japo simu yako ni original. uelewa wao unakuwa ni mdogo sana.
Je nani wa kulaumiwa? mimi kwa mtazamo wangu sidhani kama ni TCRA anapwsa kulaumiwa kwa kuzifunga, wala sii muuzaji wala si alienunua. maana wengi hawajui ni kwanini simu hizi zinashindwa ku register to network. maana wanapelekea kuamini labda wameuziwa feki, wengine wanasema hawa TCRA hovyo kabisa hawajui wanalolifanya, basi blaa blaa blaa zinakuwa nyingi tu.
Nataka nichambue kidogo tu ni kwanini haya yanatokea, na nini cha kufanya.
Haya yametokea kwasabu ya dublicate IMEI. yaani unakuta samsung moja ina IMEI na hizo IMEI kuna mtu anazitumia ktk simu nyingine ya samsung ipo mwanza na nyingine ipo dar au hata morogoro na hata unaweza ukakuta hiyo imei kuna mwingine anaitumia ulaya au hata hapo Nairobi, sasa hapa nchini network providers wanaona IMEI moja imekuwa registered mara nyingi na wanazitoa katika network yao haijaalishi ni voda,tigo,airtel,Halotel. wakikuta IMEI abcdefg imekuwa registered zaidi ya mara moja basi wanazizima zote wakiwa na imani kwamba na simu za china-copy.
kwanini zimeweza kushare IMEI ?
Simu nyingi za kisasa za samsung zilikuwa na new security certificate, ambayo kama ilikuwa ni ya promotion na ukaletewa kama zawadi kutoka nje basi ilikuwa lazima ufanye kitu inaitwa Unlock, katika kufanya Unlock kuna njia nyingi na mojawapo ni ku write new certificate kwenye hiyo simu, ukisha write certicate tu basi IMEI inabadilika kutokana na hiyo certificate uliyoandikia. Je niwangapi wanaaunlock simu kwa kutumia certficate hapa duniani iwe ulaya kenya dubai? imanaa certificate hizo hizo zinatumika na kila anaefanya unlock halafu zinauzwa, sasa hizo certs zinakuwa na IMEI zinazofanana na kupelekea simu nyingi kuwa na same IMEI.
mfano : - SM-G900F - added Unlock (via Write Cert)
Cert-SM-G900A_3525580xxxxxxxx_00000000000.cert 2.16 Kb 2014-10-30 4371
Cert-SM-G900A_3525580xxxxxxxx.cert 2.16 Kb 2014-10-30 5261
Cert-SM-G900F_3525580xxxxxxxx-00000000000.cert 2.16 Kb 2014-10-24 6361
Cert-SM-G900F_3525580xxxxxxxx.cert 2.16 Kb 2015-01-23 5152
Cert-SM-G900F_3525580xxxxxxxx_00000000000.ce
Sasa hapa mtu anapotaka ku unlock simu yake iliyotoka nje, anaaunlock kwa kuandika certs nayo certs anatoa kwenye servers ambazo kila mtu anazitumia hapo basi unakuta simu zina share IMEI na kupelekea kuwa blacklisted.
ila njia pekee iliyosalama ni kurudisha IMEI ilikuwa kwenye cover lake na hapo hakutakuwa na imei zinazoshare, simu yako itafanya kazi vizuri tu na sidhani kama ni kosa kisheria kurudishia original IMEI, kosa ni pale unapo badilisha IMEI.
Change of IMEI is illegal lakini kurepair original IMEI sio kosa.
nitarudi baadae maana mimi sio mwandishi mzuri na naona uzi unakuwa mrefu.