wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,973
- 27,209
Wakuu poleni na J.pili nzuri iliyotulia,
Mimi mwenzenu kuna kitu kinanitatiza kwenye simu yangu hii ninayotumia ni samsung galaxy. Sasa hapa juu karibu na hivi viminara vya data ikiwa on kuna kidubwana kinatokea hapo kama kijicho hivi au mchoro wa jua yaani kinatokea na kipotea nimejaribu kuseting simu lakini wapi.
Hivi wakuu wenye utaalamu na hivi vitu ni nini, ili nijue isije ikwa nafanyiwa udukuzi kama ule wa Cansela wa Ujerumani bila mimi kujua.