Habari wakuu
Nahitaji kufahamu jinsi ya kufanya flash(usb) kuwa bootable kwa kutumia command prompt kwa niweze kuweka windows na kuboot kwa kutumia flash hiyo
Asante
Hii ni messanger kama vile whatsapp ya kupata habari katika sekta mbalimbali ikiwemo michezo,burudani,uchumi,utabiri na hata michezo/games. Hii duta ipo whatsapp ambapo unadd namba sasa kwa...
Habari za muda wadau.
Kwa wale wenzangu wa kushisha (download) vitu mbalombali Kama movies, applications mbalimbali, novels, programs, n.k. Hasa kupitia site kubwa ya file sharing, Kickass.com...
Binafsi huwa si chezagi video games at all.
Especially "cellphone games " rafiki
Yangu mmoja ameni introduced kwenye hii game initwa Pokemon Go.
Nimejikuta nime tembea kilometa 32 bila hata...
Kampuni ya Samsungu mobile imezindua simu mpya aina ya Galaxy Note 7 ikiwa ni muendelezo wa Galaxy Note series. Simu hii mpya imekuja na vitu vingi vipya na vizuri zaidi ya aina zilizopita. Hapo...
Habari wanajanvi,nina hiyo tab tajwa hapo juu,inaninyima raha kabisa,kwanza internet ipo slow sana kwa upande wa mobile data,lkn nikitumia wi-fi ya ofcn mambo yanakua poa kabisa na speed ya...
Habari zenu wakuu, nina simu yangu Nokia Lumia 520. Nilliupgrade OS kutoka 8.1 kwenda 10. Matokeo yake inachemka balaa unaweza hata kuchemshia maji, pia inamaliza chaji mapema almost masaa mawili...
Kijana Deodatus Goodluck Mtanzania ambaye ameonyesha umahiri wa hali ya juu katika sayansi kwa kutengeneza Solar Packs (Bags) kwa ajili ya kusaidia nishati hasa kwa vijijini watoto wetu wasome na...
Hellow,
Ninahitaji kumblock/mute user mmoja kwenye group la whatsapp bila yeye kujua, nafanyaje. Maana ni tatizo kwenye group na hatuwezi kumtoa ili asijue lolote.
Asante
Kuna kitu nilikuwa nawaza jinsi hawa jamaa walivyoweza kugundua umeme na kufanya kila mashine ili ifanye kazi lazima itumie umeme,huu uwezo wenzetu wameutoa wapi?
Kibaya zaidi walivyokuja...
Nimependa hii app ya Mobdro ambayo inakuwezesha kuona channel za tv kwenye simu zikiwemo dstv, discovery, movies, Nat Geo, sports na kadhalika. Hivi inawezekana kutazama channel hizi kwenye tv...
Habari wanajamvi...Hivi karibu kuna document nilikuwa nina shida nayo sasa nimeipata ita tatizo ni kuwa Hizo dociment zipo katika mfumo wa microsoft word,mimi nikifungua zinanitaka niweke password...
Wana jamii...
Naomben msaada wa namna ya ku unlock bootloader ya samsung device kwan nilijaribu kuinstall rom nyingine simu ikanipa ujumbe wa could not boot normally ikastack hapo hapo had utoe...
wadau ninataka kudesign website yangu, sasa naomba kuuliza ni kampuni gani ni nzuri sana kwa utengenezaji wa websites hapa nchini. nitashukuru kwa majibu yenu.
Habarini za jioni wana jukwaa,
Nimemaliza kidato cha NNE nikiwa competent katika HTML na CSS na tayari nimefanikiwa kuanzisha project zangu 2 za website. Nimeanza kujifunza java Siku chache...
Wataalamu wa IT mtusaidie
Mathalani nataka kusafiri kutoka Dodoma Kwenda Dar es Salaam... hebu undeni kampuni ya kukatia tiketi... kuwe na App ambayo naingia naweka details za ninakotoka na...