Msaada wa kutoa Password katika Microsoft word!

Msaada wa kutoa Password katika Microsoft word!

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,683
Habari wanajamvi...Hivi karibu kuna document nilikuwa nina shida nayo sasa nimeipata ita tatizo ni kuwa Hizo dociment zipo katika mfumo wa microsoft word,mimi nikifungua zinanitaka niweke password na mimi password siijui!! Msaada wakuu nawezaje kutoa password hizo?
 
Back
Top Bottom