Video za JF hazitoi sauti mpaka earphones

Video za JF hazitoi sauti mpaka earphones

malaika wa motoni

Senior Member
Joined
Jul 28, 2016
Posts
131
Reaction score
102
salaam. Naomba msaada ni muda sasa nahangaika na hili tatizo. Mwenye utaalam naomba msaada tafadhali
 
Mbona mimi natumia tecno-c5 napata sauti kubwa tu, ichunguze vizuri cm yako
 
Ni kweli hili tatizo lipo kwa iPhone mie pia muhanga ktk hilo. Pia JF app haipatikani APP Store kwa wenye iPhones mjaribu muone kama bado ipo. Nilidelete kwangu kimakosa, ile kurudi ni-install upya imekula kwangu!

Mkuu
Pole sna. Me nikiweka EarPods napata sauti kama kawaida. Sa sielewi kuna shida gan nimechek setting zote zipo sawa
 
Back
Top Bottom