simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,205
Nimependa hii app ya Mobdro ambayo inakuwezesha kuona channel za tv kwenye simu zikiwemo dstv, discovery, movies, Nat Geo, sports na kadhalika. Hivi inawezekana kutazama channel hizi kwenye tv (HDTV )kupitia ezcast au chromecast dongle? Msaada wazoefu.