Duta Ya Whatsapp Ni Nini????

Duta Ya Whatsapp Ni Nini????

Hb wa Ilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,190
Reaction score
1,217
Hii ni messanger kama vile whatsapp ya kupata habari katika sekta mbalimbali ikiwemo michezo,burudani,uchumi,utabiri na hata michezo/games. Hii duta ipo whatsapp ambapo unadd namba sasa kwa whatsapp inatoa hivyo nlivyotaja lakini huku cha burudani zaidi ni Games mablimbali kuna

1.Jumble
hili unaandika neno jumble tu unapewa herufi unaunda majina mengi uwezavyo kwa muda husika

2.Hangman
unaandika hangman kisha kinatokea kitanzi na neno ambalo halijakamilika kwaio unalikamilisha kwa kubahatisha herufi ukikosea kuna jamaa ananyongwa ukipata anaokoka una fursa saba za kubahatisha
3.Quizes
hili unaandika gk unapewa sekunde 30 maswali unaulizwa yakiwa na majawabu unachagua sahihi tatizo maswali ni ya India mengi kutokana na origin ya duta yenyewe
 
Mbona information hazijakamilika?
 
..ndo maana kuna maswali kama hujaridhika,unataka kujua nini zaidi??
 
Back
Top Bottom