Habari wanajanvi,nina hiyo tab tajwa hapo juu,inaninyima raha kabisa,kwanza internet ipo slow sana kwa upande wa mobile data,lkn nikitumia wi-fi ya ofcn mambo yanakua poa kabisa na speed ya kutosha,nilijaribu kua hard reset lkn mambo bado yale yale.
Kingine kila ninapofungua internet,inaniletea adds za sex sex tu,hayo matangazo nimeshindwa kwakweli kuyatoa,yapo mengi mpaka naboleka kuitumia kwa ajili ya hiyo mitangazo isiyokua na maana,