QUALIFIED ameuliza kwa kutumia Command prompt lakini nadhani hujamuelewa umejibu bila kutoa suluhishoTumia njia rahisi kwa kutumia program ya Rufus. Windows zote zinakubali ndo ninayotumia.
Nimempa kama ushauri, maana ile ya command hadi ukalili au utunze zile code kwenye txt file na unaweza ukakosea kidogo itagoma kuboot, lakni hiyo Rufus unachohitaji ni windows iso file, flash/memory card na hiyo program.QUALIFIED ameuliza kwa kutumia Command prompt lakini nadhani hujamuelewa umejibu bila kutoa suluhisho
Sent from my TECNO F6 using JamiiForums mobile app
Thanks mkuuNime assume unafahamu jinsi ya ku start command line kama administrator
List ya commands ni hii hapa
"Diskpart"
"List disk"
"Select disk x"(angalia flash yako ni namba ngapi kwenye list,usually ni 1 kama umechomeka flash 1.kwahiyo kwenye x utaweka hiyo number )
"Clean"
"Create partition primary"
"Active"
"Format fs=fat32 quick"
"Assign"
Ukimaliza copy windows setup files kutoka folder uliloliandaa kwenda kwenye flash kish restart u boot kutoka kwenye flash
Au kama unaa image file basi utumie software ya poweriso
ni "ukariri" na sio "ukalili"Nimempa kama ushauri, maana ile ya command hadi ukalili au utunze zile code kwenye txt file na unaweza ukakosea kidogo itagoma kuboot, lakni hiyo Rufus unachohitaji ni windows iso file, flash/memory card na hiyo program.