Nisaidie jinsi ya kubadirsha mwerekeo manake kila nikienda storage nachagua sd lakini haichange kitu.
Hii kitu inaweza kuwa kutokana na kutoiruhusu app zisitunzwe kwenye SD card so zinaingia ndani ya simu moja kwa moja na nafasi ya simu hiyo ni 1gb so badilisha muelekeo wa kutunza new app, lakini pia punguza app usizotumia.
Tayari umejibiwa na CHIEF MKWAWANisaidie jinsi ya kubadirsha mwerekeo manake kila nikienda storage nachagua sd lakini haichange kitu.
Mkuu nimeenda huko nimejaribu kumove someapp to SD. Zinakataa inaandika (couldn't move app. Not enough storage space) wakati my SD storage capacity inasoma available space 7.8GB na free space inasoma 5.8GB. Mkuu hapo tatizo nini?nenda settings halafu storage iache kwa muda kidogo halafu angalia internal storage yako imejaaje, futa vitu kwenye internal storage au hamisha vitu kama video na media toka internal storage hadi memory card
huwezi kumove apps kwenda sd card inabidi ukomae na hio hio storage yako ya internalMkuu nimeenda huko nimejaribu kumove someapp to SD. Zinakataa inaandika (couldn't move app. Not enough storage space) wakati my SD storage capacity inasoma available space 7.8GB na free space inasoma 5.8GB. Mkuu hapo tatizo nini?
internal storage ndio storage inayokuja na simu wakati external sd card ndio memory card.Hii simu storage zake zinanichanganya kuna internal storage, SD storage na phone storage, tofauti zake ni nini? Na zinafanyaje kazi? Msaada please.
Nenda setting, then manage apps. Anza na downloaded apps kwa kuzitoa ambazo huzitumii hasa Facebook ambayo inakua ina data nyingi sana, unawaza ku clear data apps zote.Cm hii inasumbua kusevu app kila nikidownload inaandika internal storage full huku sijainstall app yoyote nifanyeje?