inawezekana ikawa ni editing hasa picha ya kwanzaHiyo sio editing, ni set up,inaitwa white screen, ni km kuweka green au blue screen background
Mkuu kumbe kuna photoshop ya simu inaitwaje aixephotoshop ya simu inaeka background nyeupe
ila kama hujawah tumia photoshop ya pc itakua ngumu kuielewa ya simu
adobe photoshop touchMkuu kumbe kuna photoshop ya simu inaitwaje aixe
Poa kaka ngoja nizame kugoogle nitaleta mrejershadobe photoshop touch
![]()
sema imeshakuwa discontinued, ilifeli hivyo itabidi uitafute na browser sio playstore
WEka maelezo namna ya kuweka hihyo !photoshop ya simu inaeka background nyeupe
ila kama hujawah tumia photoshop ya pc itakua ngumu kuielewa ya simu
picha ya kwanza ni editing,picha ya pili ni white/grey screenHiyo sio editing, ni set up,inaitwa white screen, ni km kuweka green au blue screen background
Msaada
software katika simu inayoweza kueddir picha ikawa na white background ...
Manor
Anayejua atujuze basiii
poa Kapuku ukikosa nijulisheOK mkuu ngojja Nicaragua kuztumia but nupo mbezi beach
nakuelewa mkuupicha ya kwanza ni editing,picha ya pili ni white/grey screen