Sodium 23
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 468
- 480
Habari zenu wakuu, nina simu yangu Nokia Lumia 520. Nilliupgrade OS kutoka 8.1 kwenda 10. Matokeo yake inachemka balaa unaweza hata kuchemshia maji, pia inamaliza chaji mapema almost masaa mawili tu tofauti na awali. Nilikua naomba msaada kama kuna uwezekano wa kuirudisha 8.1 au kama naweza kuweka Android OS. Natanguliza shukrani.