Sony Telecommunications walipo ruhusu simu zao hasa uzao wa Xperia kusonga mbele kwenye OS ya Adroid hasa kuna baadhi ya OS Version kama Marshmallows ilizingua kwenye kutunza Chaji tofauti na...
Habari wanajamvi,
Ningependa kufahamishwa chuo/kituo kinachotoa huduma za mitihani ya
1. CISCO ( CCNA, CCNP na hata CCIE)
2. Linux (LPI exams)
Haswa sehemu wanaporuhusu kufanya...
Ndugu wana jamvi bila shaka mpo vizuri naomba watumiaji wa cm tanjwa hapo tukutane humu ili tubadilishane uzoefu wa matumizi yake. Kiufupi kwangu nimesha jaribu ku update cm yangu kwenda lollipop...
Jamani computer yangu aina ya HP inanipa pressure sana mwanzo program zilikuwa zinafanya kazi vizuri tu, akaja mtu nikachomeka EXTERNAL nilipoitoa tu program zote zikawa stopped work kila...
Habari ya asubuhi, pole na kazi.
Juzi nimenunua simu ya BlackBerry. Naona setting zake ni tofauti na simu nyingine, nahitaji kuinstall baadhi ya app lakini naona ipo tofauti nikiingia BlackBerry...
Wadau ninasimu tecno boom j7 unapoiwasha baada ya dk3 inajizima na kujiwasha tena na nimejaribu kuifanyia head reset lakini tatizo liko palepale tatizo ni nini! Wadau.
Salam.
Mimi sijui mambo ya IT ila mimi ni mwalimu ila natoa wazo bure!!
Nyie watu walimu na wafanyakazi wa serikali wa idara nyingine wamekuwa wanahangaika humu kubadilishana vituo vya kazi mimi...
Habari wakuu
Nahitaji kufahamu jinsi ya kufanya flash(usb) kuwa bootable kwa kutumia command prompt kwa niweze kuweka windows na kuboot kwa kutumia flash hiyo
Asante
Hii ni messanger kama vile whatsapp ya kupata habari katika sekta mbalimbali ikiwemo michezo,burudani,uchumi,utabiri na hata michezo/games. Hii duta ipo whatsapp ambapo unadd namba sasa kwa...
Habari za muda wadau.
Kwa wale wenzangu wa kushisha (download) vitu mbalombali Kama movies, applications mbalimbali, novels, programs, n.k. Hasa kupitia site kubwa ya file sharing, Kickass.com...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.