Kwa watumiaji wa samsung galaxy duos i9082 tukutane hapa

Charles kikoti

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
458
113
Ndugu wana jamvi bila shaka mpo vizuri naomba watumiaji wa cm tanjwa hapo tukutane humu ili tubadilishane uzoefu wa matumizi yake. Kiufupi kwangu nimesha jaribu ku update cm yangu kwenda lollipop 5.0 - 5.1.1 na baadae marshmallow 6.0.1 ktk version hizi zote nimeona kwa mtazamo wa kimatumizi na mwonekano 5.1.1 ipo vizuri zaidi. Sasa basi nimejaribu cynogenmod, Resurrection mod na Glade mod ambapo mods zote hizo naona ni kama zinatohorewa kutoka cynogenmod kila moja ina udhaifu wake naomba kama kunamaujanja zaidi au mod nyingine zaidi ya cynogenmod, Resurrection mod na Glade mod kwa samsung galaxy duos i9082 tuelimishane. Nawasilisha kwa michango yenu tafadharini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom