Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuu! Naombeni mnipe maujanja ya nisipelekwe youtube app ninapokuwa ninastream kwa kutumia browser ya Opera Mini,shida yangu ipo hapo tu kwenye opera mini,browser nyingine kama default...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za Leo greater thinkers.... Mimi Nina shida kidogo naomba kueleweshwa na wajuzi wa haya mambo ..kuna mitaa huwa nikikatiza simu yangu inaandika available wi,_fi network but huwa siielewi...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
In Techno r7
0 Reactions
0 Replies
506 Views
habari wakuu, hivi kuna utaratibu wowote ambao unatakiwa kuufuata au kupata kibali kwa ajili ya kuanzisha website ya kuweka habari za michezo za kitaifa na kimataifa mfano kuweka habari za ligi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina file za excel zipo kwenye folder moja,nikijaribu kufungua zinaleta ujumbe huu kama inavyoonesha kwenye hii picha, naombeni msaada wenu maana nimejaribu kila namna ngoma imegoma.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama una taka ongeza nafasi kweny simu yako bila kufuta chochote fanya hivi 1. Angalia simu yako Ina gb ngap ambazo zime baki 2. Download file leny ukubwa zaid ya gb ambazo zimebak kwenye simu...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Fahamu jinsi ya kutunza chaji zaidi kwenye iphone yako unapokua mbali na chaji
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamiiForums Nilikuwa naulizia hivi tofauti kubwa ya MICROSOFT EXCEL na MICROSOFT ACCESS ipo wapi maana kama format ya data entry inaweza kutumika hata ukitumia Excel?. Nipo sahihi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Leo wamezindua Logo mpya pamoja na Huduma Ya 4G LTE, je watakuwa wamebadilika pia katika ubora wa huduma zao?
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Wakuu, baada ya kuhama kutoka OS za Windows nimeamua kujikita kwenye OS za Linux. Baada ya kupitia machapisho mbali mbali na kufuatilia tutorials mbali mbali za video niliona nijikite kwenye...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari ya uzima mkuu nimepata dell precision m6300 video card ni NVIDIA Quadro FX 1600M - 256 MB Hapa vip mkuu kwa game kama gta 5 na fifa 16 pia warcraft
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Msaada wadau baada ya kufungwa torrents ni website gani naweza kudownload series. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ninatumia smartphone yenye android v4.4. ninapenda sana kujua nitumie app gani itakayoniwezesha kudownload latest movies.
1 Reactions
43 Replies
12K Views
Habari wana jamii forum naomba kuuliza hivi mimi natumia simu tecno j8 lkn nikitumia kwa muda mrefu labda kwa siku hata masaa matatu kichwa kinauma sana na macho yana vuta sana kuna wakati nasikia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi! Kila nikiwa nataka ku log in instagram inaleta ujumbe huo kwenye picha...nimejaribu ku uninstall na ku reinstall bado inaleta huo ujumbe...nini shida hapo jamani
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WanaJF, I would appreciate input on possible options for a remote non-forensic SMS collection. We have 20-22 custodians from whom we would like to collect SMS messages. These are the type of...
0 Reactions
0 Replies
486 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema mm natengeneza circuit zifuatazo za kielectronic: 1:security system which will switch on the buzzer when it sense the presence of human 2:automatic night light...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
wakuu naomba mnijuze gharama za kutengeneza na kumiliki website? ni hatua gani za kufuata? kuna usajili unahitajika? ni website ambayo itakuwa na taarifa ya vitu kama 2,000 na watu watakuwa...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
During the height of the Cold War, a few US spy satellites changed our view of the Universe forever. In 1963, a year after the Cuban Missile Crisis nearly plunged the world into nuclear war, the...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
vp wale mnaotumia king'amuzi cha digitek vp kina channel ngap??? vp ubora wa sauti na picha?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom