Ingawa hii story inahusu how Yahoo fall naamii ina mengi mno ya kutufundisha kwenye nyanja mbalimbali za maisha.....mbali na technology tu na business...
The rise and fall (OK — mostly fall) of...
Wakuu huwa nafanya voice overs, then someone hunisaidia kufanya editing. Kwa sasa nilikuwa nataka mwenyewe ili sauti ambayo inasikika, clear na ni high quality.
Nimefanya noise reduction...
msaada kwa mwenye uwezo wa kufix net framework ya 3.5 katika windows 8 mana kuna baadhi ya software nashindwa kuinstall kwa sabab ya net framework ya 3.5 haiwekwa kutumika katika windows 8
Nimedownload na kuinstall hii app kwenye computer ila sikumbuki password zake tena.
Naombeni kama kuna mtu anajua anipe msaada huo wa kutoa hayo mafile kwenye folder locker.
Natanguliza shukurani.
Wadau nilipolwa smartphone yangu na vibaka siku kadhaa zimepita na mpaka hapa nimekwenda kulipoti police but sijapata muhafaka jinsi ya kuweza kuipata, msaada toka kwenu ni njia gani muhafaka...
Habari za leo wakuu, ninataka kudownload file la windows 8 kupitia torrent, lina ukubwa wa 3.77 GB. alafu niliweke kwenye flash, kisha ni install, naomba mnijuze nina hitaji kufanya nn ili...
Nimepiga window mpya jana katika PC yangu, lakini nashangaa toka nipige hyo window naletewa huu ujumbe baada ya kuingia internet nashindwa kuelewa nini tatizo, nimejaribu kutmia browser tofauti...
Naombeni msaada wa maelekezo yenu juu ya aina gani nzuri ya Printer kwa ajili ya kusafishia picha za digital studio na bei zake. PRINTER YA KISASA KABISA ITAKAYONIWEZESHA KUFANYA BIASHARA KWANI...
*WAPENDWA WOTE*
Leo nitawaletea somo la namna ya kupangilia fonts za maandishi yako katika Whatsapp
Kina wakati unataka kuonyesha Kichwa cha habari ama msisitizo kwa ku-bold ama ku-highlight...
Niaje wakuu,
Ni muda mrefu sijapost kitu humu. Leo nakuja na swala moja tu ambalo Kwa developers ni muhimu.
Je kuna APIs zozote specifically kwa Tanzania?
Mfano, tuna news network nyingi sana...
Leo nimepata updates za Marshmallow kwa simu yangu ya Galaxy J7 kupitia OTA. Hope wengine pia mkiupdate simu zenu mnaweza kupata.
File size ni Mb 824 so inabidi uwe umejipanga hapo kwenye bando.
Jaman matechnician naomba msaada wa kuweza kuifungua / unlock HUAWEI Y3II Ili niweze kuenjoi laini zote kwani nateseka sana na kutumia laini walioikusudia.
Naomba kuwasilisha
Nimejaribu njia nyingi za kuroot hii simu bila mafanikio nilianza na hiyo kingroot sim inajiRestart tu na nikijaribu desktop version simu bado inajirestart nijaribu njia ipi?
Kila njia nikijaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.