balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,690
- 13,578
Salam.
Mimi sijui mambo ya IT ila mimi ni mwalimu ila natoa wazo bure!!
Nyie watu walimu na wafanyakazi wa serikali wa idara nyingine wamekuwa wanahangaika humu kubadilishana vituo vya kazi mimi naiona kama fursa kwenu.
Kwanini msiandae program ambapo mfanyakazi yoyote wa serikali anaweza kuingia kwenye hiyo database halafu akajaza details zake humo na baadae ikampa options za wafanyakazi wenye uhitaji wake.
Mfanyakazi husika labda anaingiza taarifa kwenye data base hiyo hata kwa elfu ishirini halafu itangazeni mtapata raia mpaka mkimbie.
Mimi naomba fanyeni na liundeni au liwekeni kwenye speciality yenu mimi mniaknowledge tu inatosha.