Hatimaye Sony wafungua masikio

Mwandwanga

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,059
1,568
Sony Telecommunications walipo ruhusu simu zao hasa uzao wa Xperia kusonga mbele kwenye OS ya Adroid hasa kuna baadhi ya OS Version kama Marshmallows ilizingua kwenye kutunza Chaji tofauti na Lollipop.

Nakumbuka Z3 yangu ilikuwa ina kaa na chaji kwa siku mbili na na masaa kadhaa pasipo kuzima Data na kuitumia pia.

Lakini nilipo pokea Marshmallow nilijuta, simu hata siku ilikuwa haimalizi nikiacha Data na brightness ikiwa 100%

Leo nimepata system updates naona wamerudisha ila battery optimization ya lollipop.

Wale wa Uzao wa Xperia Z mnaweza cheki
 
1470386050718.jpg
 
ivi mkuu unaweza kuilazimisha simu iwe kwenye version nyingine yeyote ata kama wao hawajaitoa.?
 
Sony Telecommunications walipo ruhusu simu zao hasa uzao wa Xperia kusonga mbele kwenye OS ya Adroid hasa kuna baadhi ya OS Version kama Marshmallows ilizingua kwenye kutunza Chaji tofauti na Lollipop.

Nakumbuka Z3 yangu ilikuwa ina kaa na chaji kwa siku mbili na na masaa kadhaa pasipo kuzima Data na kuitumia pia.

Lakini nilipo pokea Marshmallow nilijuta, simu hata siku ilikuwa haimalizi nikiacha Data na brightness ikiwa 100%

Leo nimepata system updates naona wamerudisha ila battery optimization ya lollipop.

Wale wa Uzao wa Xperia Z mnaweza cheki
Sony Z3 bei gani mkuu??(mtumba au dukani)
 
Mimi nilinunua laki nane na nusu ikiwa mpya kabisa (nilimtumia pesa jamaa kwa OBAMA) na ni kitambo tangu mwezi wa 4/2015 sijajua kwasasa bei zake zimekaaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom