Mussa waukweli.
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 534
- 319
Jamani computer yangu aina ya HP inanipa pressure sana mwanzo program zilikuwa zinafanya kazi vizuri tu, akaja mtu nikachomeka EXTERNAL nilipoitoa tu program zote zikawa stopped work kila unayoifungua.
Nimeshusha window kama mara tano lakini tatizo liko pale pale.
Msaada tafadhali mwenye ujuzi na hili tatizo.
Nimeshusha window kama mara tano lakini tatizo liko pale pale.
Msaada tafadhali mwenye ujuzi na hili tatizo.