Msaada: Simu ya blackberry inanichanganya

Msaada: Simu ya blackberry inanichanganya

donata fredy

Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
45
Reaction score
87
Habari ya asubuhi, pole na kazi.

Juzi nimenunua simu ya BlackBerry. Naona setting zake ni tofauti na simu nyingine, nahitaji kuinstall baadhi ya app lakini naona ipo tofauti nikiingia BlackBerry world haionyeshi baadhi ya app na nikitafuta haziji kabisa.

Msaada wenu nahitaji iwe kama smartphone za kawaida. Ni BlackBerry Q10
 
blackberry ina applications chache sana kama 50,000 wakat androids phones zina almost 1 millions applications so usidhani kua applications zote ulizozoea kuzipata ktk play store nazo utazipata ktk blackberry world, utapata chache sana
 
Tumia android apks,zinapatikana sites nyingi tu utapata common android apps WhatsApp,Telegram , Instagram etc
 
Back
Top Bottom