Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Unlocking huawei 4g modem of any network is not easy it need a high technology and most of time it need the money for buying the unlock code, why do the people sells the unlock code? and did they...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi nitajuaje laptop feki. Na laptop nzuri ni zipi? Naomben msaada
0 Reactions
3 Replies
873 Views
Wadau natanguliza salamu,,, naombeni kusaidiwa nawezaje kupata key za kuactivate window 8. 1pro
0 Reactions
12 Replies
1K Views
POLISI TANZANIA WAMFANYA TUNDU LISSU KUWA MTU MASHUHURI DUNIANI APATA HITS MILLIONI 82 KATIKA SEARCH ENGINE YA GOOGLE NYINGI KUTOKA AUSTRALIA, MAREKANI NA ULAYA WAKITAFUTA (SEARCH) NENO TUNDU...
6 Reactions
37 Replies
7K Views
Msaada itel 1501 imegoma kusoma mafaili pdf , picha nikipiga haionekani kwenye gallery, video Niki download haziingii kwenye gallery na hazioneshi.
0 Reactions
2 Replies
806 Views
Mwanafunzi wa Darasa la 12 nchini Namibia ametengeneza simu isiyokuwa na sim card na wala haitumii muda wa maongezi kupiga simu. Kwa mujibu wa New Era report, Simon Petrus mwanafunzi wa Abraham...
16 Reactions
69 Replies
9K Views
Naombeni msaada namna ya kuset custom domain kwenye blogger baada ya kuregister domain mpyaa.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za sasa hizi waJF mimi nakaribia kuhitimu chuo wiki ijayo nimekaa nikaona ni bora nitafute ulaji kidogo. Nimewaza bora nifungue play station mtaani kwetu. Je nitapata wapi hivyo vifaa kwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu habari za wakati kwanza nianze kwa kusema natambua uwepo wa google kama helpfull search engine ya vitu pamoja na tutorials video ktk youtube sasa usiniambie niulize au kutazama google, wakuu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau dish langu limepoteza frequency kabisa kwasababu ya upepo na mvua za jana,yeyote mwenye ujuz huo! Maana mafund wa DSTV cku hiz wanataka sana pesa!
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Nina Samsung galaxy s4,gt-i 9500,IPO slow sana kwenye kutumia internet na ninapojaribu kudownload videos au application inashindikana. natumia mtandao wa air tel naweza kupata msaada was jinsi ya...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
msaada wanajamvi smartphone yangu ya samsung nikiwasha inaanza proccess zote za kuwaka ikifika kwenye hatua ambayo screen inaonyesha neno sangsung basi ina baki hivyohivyo aizimi wala kuendelea...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Simu yangu tecno m9 imegoma kuwaka inaishia kwenye logo ya tecno tu imeflashiwa lakini tatizo lipo pale pale, naombeni msaada wa kiufundi ili iweze kutengenezeka.
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Nmezoea kushusha series kupitia www.kickass.to sasa nmeingia nikakuta domain imefungwa sasa naombeni msaada Wa plan B. Shukrani
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Msaada wanajamvi smartphone yangu ya samsung nikiwasha inaanza proccess zote za kuwaka ikifika kwenye hatua ambayo screen inaonyesha neno sangsung basi ina baki hivyohivyo haizimi wala kuendelea...
0 Reactions
3 Replies
882 Views
Asante sana Whatsapp kwa kusikiliza vilio vyetu kwa wale wanaopenda Privacy maana TCRA walikuwa wanataka kufika mbali.
4 Reactions
24 Replies
5K Views
Habarini wana JF? Ni hv dogo kachezea cm yang ya Huawei ascend na bahati nbaya kaweka pattern ambazo hakumbuki namna ya kuzitoa,wengne wamenishauri nikafrash lakn inakuwa ngumu maana nimeulizia...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Hello JF fans....! Are you the owner of a smart phone? Yes Android users.....! I have great news for you fellows. If you didn't know am going to tell you and if you knew you'll tell me am on...
0 Reactions
0 Replies
749 Views
habar,naomba msaada wa tofauti kat ya network engineer na telecomunication engineer.
0 Reactions
2 Replies
565 Views
Nadili na matatizo ya computer kurudisha data zilizopotea, kushughulikia software nahardware problem nicheck 0768936317 napatikana mwanza bugando B karibuusisite
0 Reactions
0 Replies
501 Views
Back
Top Bottom