I am curious! hivi tunaponunua bundle kwenye mitandao yetu ya kawaida (tigo, voda n.k), kwa namna flani tunapewa ka portion kadogo ka ku access internet. Kitu ninachojiuliza ni kwamba, wao tigo...
Habari za jioni, nataka kufanya matangazo ya biashara yangu kwa kuwatumia sms watu wa mikoa ya nyanda za juu kusini, naomba msaada nitumie software IPI? Ama APi zipi niweze kufanikiwa. Nataka msg...
The original KickassTorrents website was shut down by the US authorities and its alleged operator was arrested, but the crew is going to rebuild the platform they have attracted many users and are...
Habari zenu wakuu, mimi sio mzoefu sana wa tv sasa nataka kununua flat screen nimependelea iwe ya kisasa sasa nahofia kuingizwa mjini. Naomba mnisaidie flat screen ya kisasa ina sifa zipi na...
Salaam Kwenu.
Naulizia mwenye kifaa tajwa hapo juu anisaidie niweze kubadilisha kwenye laptop yangu hai-touch kabisa kioo kimeweka ufa.
Kama ni fundi au muuzaji naomba kujua bei yake ni kiasi...
Niliangusha hd yangu, ikiwa inafanya kazi, baada ya hapo kila nikitaka kuitumia inaishia kwny ku load driver tuu.
Nimejaribu kubadilisha cable na PC nyingine style ni ileile.
Kwa awezaye...
Wengi tumeizoea Opera mini lakini sasa watumiaji wa simu au tablets zinazotumia Android wanaweza ku download browser mpya, faster kuliko opera. Inaitwa Next. Imeundwa na wale wale wataalam...
ndungu wana jf habari za wakati naomba msaaada wenu please je kuna utaaramu wa kudownlod app ya WhatsApp and instragram kwenye pc please mwenyewe ufahamu anielekeze
Habari za kutwa.
Unapokua na zaidi ya mitandao kumi ya kijamii ni ngumu sana kushika passwords zako. labda kama unatumia zinazofanana kwa site zote sawa ila haishaririwi sababu sio salama, mtu...
Wadau nina laptop ya Samsung note book N100SP inanizingua kutype na sijui nifanye vipi setting zake
keys za u, i,o p,j,k,l,m kwa chini zina namba
tatizo nikibonyeza hizo keys zinatokea namba...
Wakuu kuna LapTop nilinunua wiki jana lakini nimeshindwa kuitumia kwa sababu ya Keyboard setting yake, yaani kila nikiwa nina type nikibonyeza baadhi ya button inaandika namba.
Mfano nikibonyeza...
Hii game ya nuclear bike nimeipenda kwasab inahtaj control ya hali ya juu nimeenda nayo had stage ya 13 ambapo ile motor cycle inakuwa inajump hewan technically na haiend mbele msaada kwa...
WAKUU Ni kampuni gan ya Simu Ina toa modem nzuri za internet kwa matumizi ya laptop ... na Ni kampun gan ambayo Ina limitless internet ...: mimi mpenzi wa online movies so naomba msada wenu
Wapendwa habari zenu..
Napata tabu kidogo na hii simu, some apps hazifunction tena inaniambia ni update kwanza.
Now nikijaribu ku update inaniambia kama kawaida kuingiza password na id ya...
Salam wakuu, mimi kwa miaka mingi Nimekuwa mzee wakuchepuka leo tigo, kesho voda, jioni halotel, kesho yake Ttcl lakini kwa niliyoyaona leo mimi na hii kampuni itwayo Tigo (line ninayo mwaka wa 10...
HABARI ZENU
Ndugu zangu wana forum naomba msaada juu ya hiyoo cm yangu tajwa hapo juu nahitaj kuroot ili niweze kuinstall google playstore naomba mwenye kujua anisaidie zaid maana nimeshajaribu...