HABARI ZENU
Ndugu zangu wana forum naomba msaada juu ya hiyoo cm yangu tajwa hapo juu nahitaj kuroot ili niweze kuinstall google playstore naomba mwenye kujua anisaidie zaid maana nimeshajaribu...
Kampuni ya Microsoft chini ya kitengo chake cha michezo kijulikanacho kama Xbox kimetangaza kuwa kitainunua kampuni ya Beam.
Beam nayo yenyewe inajihusisha na maswala ya magemu na hata yale ya...
Google wanakuja na programu endeshaji nyingine nje ya Android na Chrome OS. Programu endeshaji hiyo inayokwenda kwa jina la Fuchsia tofauti na Android na Chrome OS hii inajitegemea na haitatumia...
Njoo ujifunze website design & development, database design & implementation, joomla, wordpress and software development using web based technologies.
Bure hadi 01/09/2016.
Training...
Nina laini yangu ya Vodacom niliyoipenda namba kwani rafiki yangu alikuwa anasajili lain sasa mie siku moja nikaenda ofisini kwake nikakuta lain nyingi sana nikachukua moja nikaweka kwa simu...
Wana body habari zenu, heshima kwenu sana ,nimelazimika kukimbilia jukwaa Hili kwaajili ya msaada nahitaji Ku download ant virus ambayo itakuwa nzuri kwa windows 7 Ultimate pia naomba na link pa...
Wakuu simu yangu w4 nikiwasha data connection hua inakua slow sana,katika internet yenyewe ipo normal ila tatizo ni vile nikitaka kuscroll hua inagandaganda sana.Msaada wakuu
Habari wakuu
Naomba kusaidiwa kujua, kuna hizi game ambazo huchezwa kupitia TV aidha mko wawili kwa maana ya kushindana au kuchezwa na mtu mmoja
Kwanza zinaitwaje, zinapatikana wapi na huwa ina...
Kwema ndugu zangu!
Napenda tuutumie huu uzi kujifunza java, for biginer's, experienced na senior wa java tusaidiane kutatua changamoto mbalimbali kuhusu kuandika code za java, solving different...
Wadau naomba kuuliza, ni mfumo gani naweza Kutumia kuhamisha pesa ya account ya Tsh kwenye account ya Dola au kwenye PayPal account bila kwenye physically bank na kupanga foleni?, Maana nasikia...
habari wakuu...
ninatumia Huawei Y330 kwa mda sasa na ina line mbili, line 1 haina tatizo nikiweka chip ya mtandao wowote network haileti matatizo inasoma H au H+
Tatizo ni hii line 2, muda wote...
CALL RECORDER kwenye simu yangu imekataa kufanya kazi kabisa,nime download kila toleo imegoma kabisa anayejua jinsi ya kuweka anishauri tafadhali.
Simu yangu Samsung Gallaxy noteIII sm_N900.
Naombeni msaada wana JF nmepata mtu anauza laptop used mackbook (16 gb) kwa sh laki nne na nusu pia zipo mpya anauza 1million na kaniambia yupo USA. Cha kushangaza namba yake ya simu inaanzia +254...
Jaman naomba msaada bataka kucheza geme ya Fifa EA Sport kweny cm yang Techno J8 kila ila inanambia niwe na account ya EA Sport. Kila ni ki sign up inakataa inarud mwanz .naomba msaada km kuna...
Wakuu poleni na majukum nina mambo mawili nilitaka kujua namna ya kufanya.
1. Naomba kuelekezwa jinsi ya ku stream picha kutoka kwenye laptop kwenda kwenye Tv kwa njia ya HD maana HD cable ninayo...
HABARI WANA JF. NINA LAPTOP HP 1000 YANGU NAIPENDA ILA TATIZO IMEPASUKA HOUSING KAMA KUNA MTU MWENYE LAPTOP YA AINA HIYO TUWASIRIANE IKIWEZEKANA UNIUZIE....NI MATUMAINI YANGU OMBI LANGU...
Habari zenu wakubwa,Week iliyopita nilinunua tecno boom J8 Mliman City pale,sasa naona touch yake haiko sensitive kabisa yaani mpaka ubonyeze Kwa nguvu ndio zinasense
Je kuna uwezekano WA...
Ndugu zangu mahali dunia ilipofikia siyo sehemu tena ya kujiachia wazi wazi hasa kwenye sekta ya technology upande wa internet...
Tumeshashuhudia site za torrents zikipigwa ban kwa kazi za watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.