NkumbiSon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 2,573
- 3,665
Niliangusha hd yangu, ikiwa inafanya kazi, baada ya hapo kila nikitaka kuitumia inaishia kwny ku load driver tuu.
Nimejaribu kubadilisha cable na PC nyingine style ni ileile.
Kwa awezaye kunitatulia, au location ya mtaalamu.
Unaweza kuwasiliana na mimi kwa 0714 41 01 71.......