Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

WAKUU Ni kampuni gan ya Simu Ina toa modem nzuri za internet kwa matumizi ya laptop ... na Ni kampun gan ambayo Ina limitless internet ...: mimi mpenzi wa online movies so naomba msada wenu
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Wandugu naomba msaada wenu nina simu tajwa hapo juu ina onesha inasapoti 4g, lakin haionyeshi kama ina hiyo system
0 Reactions
7 Replies
970 Views
Habari za humu ndani...., kwa ufupi naomba kujua jinsi gani ya ku hack coins kwenye game la dream league soccer. Asanteni
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Oy wakuu hiv nikiroot simu angu itafungwa na hawa TCRA?
0 Reactions
2 Replies
687 Views
Wapendwa habari zenu.. Napata tabu kidogo na hii simu, some apps hazifunction tena inaniambia ni update kwanza. Now nikijaribu ku update inaniambia kama kawaida kuingiza password na id ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salam wakuu, mimi kwa miaka mingi Nimekuwa mzee wakuchepuka leo tigo, kesho voda, jioni halotel, kesho yake Ttcl lakini kwa niliyoyaona leo mimi na hii kampuni itwayo Tigo (line ninayo mwaka wa 10...
3 Reactions
72 Replies
7K Views
HABARI ZENU Ndugu zangu wana forum naomba msaada juu ya hiyoo cm yangu tajwa hapo juu nahitaj kuroot ili niweze kuinstall google playstore naomba mwenye kujua anisaidie zaid maana nimeshajaribu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wataalamu, naweza kuhamisha clip toka kwenye computer kwenda kwenye flash yangu? If so nafanyaje!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kampuni ya Microsoft chini ya kitengo chake cha michezo kijulikanacho kama Xbox kimetangaza kuwa kitainunua kampuni ya Beam. Beam nayo yenyewe inajihusisha na maswala ya magemu na hata yale ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Google wanakuja na programu endeshaji nyingine nje ya Android na Chrome OS. Programu endeshaji hiyo inayokwenda kwa jina la Fuchsia tofauti na Android na Chrome OS hii inajitegemea na haitatumia...
1 Reactions
0 Replies
725 Views
Njoo ujifunze website design & development, database design & implementation, joomla, wordpress and software development using web based technologies. Bure hadi 01/09/2016. Training...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Nina laini yangu ya Vodacom niliyoipenda namba kwani rafiki yangu alikuwa anasajili lain sasa mie siku moja nikaenda ofisini kwake nikakuta lain nyingi sana nikachukua moja nikaweka kwa simu...
1 Reactions
2 Replies
963 Views
Wana body habari zenu, heshima kwenu sana ,nimelazimika kukimbilia jukwaa Hili kwaajili ya msaada nahitaji Ku download ant virus ambayo itakuwa nzuri kwa windows 7 Ultimate pia naomba na link pa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu simu yangu w4 nikiwasha data connection hua inakua slow sana,katika internet yenyewe ipo normal ila tatizo ni vile nikitaka kuscroll hua inagandaganda sana.Msaada wakuu
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Habari wakuu Naomba kusaidiwa kujua, kuna hizi game ambazo huchezwa kupitia TV aidha mko wawili kwa maana ya kushindana au kuchezwa na mtu mmoja Kwanza zinaitwaje, zinapatikana wapi na huwa ina...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Kwema ndugu zangu! Napenda tuutumie huu uzi kujifunza java, for biginer's, experienced na senior wa java tusaidiane kutatua changamoto mbalimbali kuhusu kuandika code za java, solving different...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau naomba kuuliza, ni mfumo gani naweza Kutumia kuhamisha pesa ya account ya Tsh kwenye account ya Dola au kwenye PayPal account bila kwenye physically bank na kupanga foleni?, Maana nasikia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
habari wakuu... ninatumia Huawei Y330 kwa mda sasa na ina line mbili, line 1 haina tatizo nikiweka chip ya mtandao wowote network haileti matatizo inasoma H au H+ Tatizo ni hii line 2, muda wote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
CALL RECORDER kwenye simu yangu imekataa kufanya kazi kabisa,nime download kila toleo imegoma kabisa anayejua jinsi ya kuweka anishauri tafadhali. Simu yangu Samsung Gallaxy noteIII sm_N900.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni msaada wana JF nmepata mtu anauza laptop used mackbook (16 gb) kwa sh laki nne na nusu pia zipo mpya anauza 1million na kaniambia yupo USA. Cha kushangaza namba yake ya simu inaanzia +254...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom