Wana jf naomba kujua bei ya kioo cha samsung s3 full cha ndani na cha nje...maana kioo changu kimeharibika na jinsi nilivyoperuzi nimegundua kuwa ata mimi naweza kuitengeza mwenyewe hivyo kwa...
Nauliza naweza pata kwa bei gani na wapi mi niko mwanza graphic card ya asus f8s series
1GB NVIDIA 9650GT VGA
GRAPHIC CARD G96-650-C1 for asus f8s series
Htc desire 616
Screen touch hairespond kabisa.
Sony xperia P LT 22i
Ukiwa unaicharge haiingizi chaji,inaweza ikajaa lakini ghafla inaashoot down to 0%.
Nadhani tatizo ni battery au charging...
Wakuu nashukuru sana maana nimefanikiwa baada ya kuchukua nashauri yenu nimeyafanyua kazi na sasa nimefanikiwa Ku install windows tayari na enyoy,,ila kama kuna MTAALAMU Naomba msaada wa...
Tarehe 19/08/2016 Kampuni ya Samsung imezindua flagship mpya ya Galaxy Note 7, hii ilikuwa ni tarehe ya uzinduzi USA.
Mtumiaji wa note 7 atakuwa ni kama ana computer kiganjani.
Kwa maelezo zaidi...
Naomba msaada hili tatizo limenikuta ni baada ya kugundua kuwa nimepandanisha windows sasa nimeanza upya Ku install nifanyeje au kama Windows zikipandana
Naombeni munipe ufafanuzi wa mouse(cursor) kuganda ktk desktop...
Kwa mm mwenyewe nilijaribu kubadilisha kila aina ya mouse na kila aina port na pia kutoa virus, kubadilisha window lakini bado...
Heshima yenu wakuu. Siku ya jananlikua natumia pc yangu kweny internet sasa bahati mbaya ikachange na kuonesha blue huku kuna maandish ya hard drive ikakaa mda sana nkaamua kuizima. Sasa kazi...
Wakuu naomba kuelemishwa juu ya hiki kitu kinaitwa INSTA ADS, zinafanyaje kazi, zinatengenezwaje, na zinawezaje kukuingizia kipato?
Yeyote anayefahamu tafadhali...........
Habari wanajamiiforum
Natumia Huawei Y560 Ipo rooted, nitaweza kuhide jina la mtandao pale kwenye status bar maana linachukuwa nafasi kubwa ambayo ningeweza kuona notification icon za whatsap...
Habari wakuu.
Mdogo wangu anafunga ndoa mwezi wa 11 sasa nimeona niulize kwa wataalam kama naweza vipi kutengeneza kadi za mwaliko na mchango na nizisambaze kwa njia ya WhatsApp maana ndugu na...
Habari ndugu,
Nauliza kama Simu za Huawei ascend y300 Inawezekana ku update system? Kama inawezekana ni kwa njia gani kwani kwa njia ya kawaida ukisearch for updates unaambiwa no updates wakati...
Habari za leo ndugu.
Nimeunda huu uzi maalumu kabisa kwa ajili ya ku deal na Linux operating sytem.
Wataalamu wa hii OS karibuni tubadilishane mawazo na namna ya kuitumia.
Zipo distros nyingi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.