Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Team USA Continues to Win in Rio: Pictures Team USA Continues to Win in Rio: Pictures
0 Reactions
1 Replies
744 Views
Pengine umewaalika rafiki zako nyumbani. Una party ndogo. Unachezesha miziki kwa laptop yako. Laptop yenyewe umeiweka kwenye meza ya pembeni karibu na chanzo cha umeme, au pengine karibu na...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimekumbana na tatizo hili kwenye pc yangu linaniletea tu message hii "settings.ini is being used by another process. Close other program" naomba msaada wenu wadau
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ninahitaji kujua watu wangapi wako interested kujifunza programming na ambao wanahisi wakielezwa kwa kiswahili is better kuliko kiingereza. Kama ndio tupia hapa ungependa kujua nini. Nafikiria...
16 Reactions
160 Replies
17K Views
Help!!!! Kuna galaxy tab s haina play store INA Samsung app peke ake nifanyeje kupata play store Tab ina run android v5.0.2
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau msaada wa ku activate card yangu ya visa kwenye website ya crdb,baada ya kuangaika sana kufuatilia waiactivate ili niweze ku purchase vitu online,hatimaye wamenitumia txt kuwa naweza shop...
0 Reactions
38 Replies
18K Views
Hii kitu inaukwel wowote.? Nimekuta kwenye account yao ya twitter
0 Reactions
86 Replies
16K Views
Habari zenu! Mara baada ya TCRA "kufungia" simu ambazo ni "feki" kuna simu ambazo ni ORIGINAL zimekuwa zikisumbua sana. Simu hizi ukifuata maelekezo ya TCRA kutambua kama ni feki au la zinaleta...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
I am curious! hivi tunaponunua bundle kwenye mitandao yetu ya kawaida (tigo, voda n.k), kwa namna flani tunapewa ka portion kadogo ka ku access internet. Kitu ninachojiuliza ni kwamba, wao tigo...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari za jioni, nataka kufanya matangazo ya biashara yangu kwa kuwatumia sms watu wa mikoa ya nyanda za juu kusini, naomba msaada nitumie software IPI? Ama APi zipi niweze kufanikiwa. Nataka msg...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The original KickassTorrents website was shut down by the US authorities and its alleged operator was arrested, but the crew is going to rebuild the platform they have attracted many users and are...
1 Reactions
2 Replies
985 Views
Habari zenu wakuu, mimi sio mzoefu sana wa tv sasa nataka kununua flat screen nimependelea iwe ya kisasa sasa nahofia kuingizwa mjini. Naomba mnisaidie flat screen ya kisasa ina sifa zipi na...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Salaam Kwenu. Naulizia mwenye kifaa tajwa hapo juu anisaidie niweze kubadilisha kwenye laptop yangu hai-touch kabisa kioo kimeweka ufa. Kama ni fundi au muuzaji naomba kujua bei yake ni kiasi...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Niliangusha hd yangu, ikiwa inafanya kazi, baada ya hapo kila nikitaka kuitumia inaishia kwny ku load driver tuu. Nimejaribu kubadilisha cable na PC nyingine style ni ileile. Kwa awezaye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wengi tumeizoea Opera mini lakini sasa watumiaji wa simu au tablets zinazotumia Android wanaweza ku download browser mpya, faster kuliko opera. Inaitwa Next. Imeundwa na wale wale wataalam...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
ndungu wana jf habari za wakati naomba msaaada wenu please je kuna utaaramu wa kudownlod app ya WhatsApp and instragram kwenye pc please mwenyewe ufahamu anielekeze
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za kutwa. Unapokua na zaidi ya mitandao kumi ya kijamii ni ngumu sana kushika passwords zako. labda kama unatumia zinazofanana kwa site zote sawa ila haishaririwi sababu sio salama, mtu...
1 Reactions
59 Replies
5K Views
Wadau nina laptop ya Samsung note book N100SP inanizingua kutype na sijui nifanye vipi setting zake keys za u, i,o p,j,k,l,m kwa chini zina namba tatizo nikibonyeza hizo keys zinatokea namba...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Wakuu kuna LapTop nilinunua wiki jana lakini nimeshindwa kuitumia kwa sababu ya Keyboard setting yake, yaani kila nikiwa nina type nikibonyeza baadhi ya button inaandika namba. Mfano nikibonyeza...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Hii game ya nuclear bike nimeipenda kwasab inahtaj control ya hali ya juu nimeenda nayo had stage ya 13 ambapo ile motor cycle inakuwa inajump hewan technically na haiend mbele msaada kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom