AL-USTADH JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 406 Reaction score 226 Aug 17, 2016 #1 Salaam Kwenu. Naulizia mwenye kifaa tajwa hapo juu anisaidie niweze kubadilisha kwenye laptop yangu hai-touch kabisa kioo kimeweka ufa. Kama ni fundi au muuzaji naomba kujua bei yake ni kiasi gani wadau, niko Dar. Natanguliza Shukran.
Salaam Kwenu. Naulizia mwenye kifaa tajwa hapo juu anisaidie niweze kubadilisha kwenye laptop yangu hai-touch kabisa kioo kimeweka ufa. Kama ni fundi au muuzaji naomba kujua bei yake ni kiasi gani wadau, niko Dar. Natanguliza Shukran.
C Casuist JF-Expert Member Joined Jul 23, 2014 Posts 1,189 Reaction score 2,971 Aug 17, 2016 #2 Ukikosa kabisa mkuu, jaribu kuangalia online hapa