abd-rashid nkando
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 208
- 160
Wandugu naomba msaada wenu nina simu tajwa hapo juu ina onesha inasapoti 4g, lakin haionyeshi kama ina hiyo system
Chief nimebonyeza alaf imaniletea options nyingi ila nikieka lte kule kwenye settings haionekani natanguliza shukrankama ilikuwa inatumika kwenye mtandao fulani inawezekana huo mtandao hauna 4g hivyo huo mtabdao wameibdisable.
jaribu kubonyeza *#*#4636#*#* uone kama utapata response
Bonyeza 3845#*802# kisha chagua lte only kisha moderms setting kisha RAT selection then chagua lte only sasa au auto.Wandugu naomba msaada wenu nina simu tajwa hapo juu ina onesha inasapoti 4g, lakin haionyeshi kama ina hiyo system
We tum inagomaaa nkieka lte only network inapotea kabisa nna 4g ya tgo alaf nkieka auto nkienda kwee settings skuti lte option nakuta gsm/wcdmaBonyeza 3845#*802# kisha chagua lte only kisha moderms setting kisha RAT selection then chagua lte only sasa au auto.
Kule kweny setting panabaki hivyo hivyo usiwaze...We tum inagomaaa nkieka lte only network inapotea kabisa nna 4g ya tgo alaf nkieka auto nkienda kwee settings skuti lte option nakuta gsm/wcdma