luvcyna
JF-Expert Member
- Feb 24, 2009
- 1,848
- 1,940
Wapendwa habari zenu..
Napata tabu kidogo na hii simu, some apps hazifunction tena inaniambia ni update kwanza.
Now nikijaribu ku update inaniambia kama kawaida kuingiza password na id ya icloud. Then kila nikiingiza inanipa ujumbe kuwa account hiyo haipo icloud.
Napaswa kufanya nini wanajukwa. Help pls