Natangaza rasmi mimi na huu mtandao KWISHAAAA

utakuja

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
990
798
Salam wakuu, mimi kwa miaka mingi Nimekuwa mzee wakuchepuka leo tigo, kesho voda, jioni halotel, kesho yake Ttcl lakini kwa niliyoyaona leo mimi na hii kampuni itwayo Tigo (line ninayo mwaka wa 10 sasa) ndio basi tena sirudi na kamwe siweki vocha hadi wabadilike.
Screenshot_20160813-183444.png
 
Salam wakuu, mimi kwa miaka mingi Nimekuwa mzee wakuchepuka leo tigo, kesho voda, jioni halotel, kesho yake Ttcl lakini kwa niliyoyaona leo mimi na hii kampuni itwayo Tigo (line ninayo mwaka wa 10 sasa) ndio basi tena sirudi na kamwe siweki vocha hadi wabadilike. View attachment 380996
Haha muda wa kuvumiliana umekwisha kuhama ndo sulotion na tena ikiwezekana tupa hata hiyo line yenyewe
 
voda wenyewe kifurushi cha siku cha buku kununua kwa njia ya vocha wamekifuta imebaki kununua kwa m pesa tuu
 
tigo ni mtandao wa wajanja kama huna sifa ya kuwa mjanja kila siku utalalamika, tigo unaweza ukakaa hata mwaka hujajiunga na kifurushi official, vifurushi kibao mitaani,

kuhusu vifurushi hivyo ukiona mmoja kashusha ujue wote nao watafuatia watashusha, mara nyingi linakuwa ni agizo mitandao yote wanafuata.
 
Back
Top Bottom