God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,067
Habari za kutwa.
Unapokua na zaidi ya mitandao kumi ya kijamii ni ngumu sana kushika passwords zako. labda kama unatumia zinazofanana kwa site zote sawa ila haishaririwi sababu sio salama, mtu ataweza itumia hiyo password na akaingia site kibao hivo aka hack account zako zote.
Mimi huwa naadika mahali, ila naona kuandika sio salama maana unaweza poteza document au haka karatasi/note book ikalowa.
Napenda mniambia njia salama ya kuhifadhi passwords zako kwa sisi tulio kwenye mitandao mingi inakua ngumu sana kukariri.