Nataka kufanya matangazo ya biashara yangu kwa SMS, nifanyeje?

apprentice1997

Senior Member
Jun 8, 2016
107
99
Habari za jioni, nataka kufanya matangazo ya biashara yangu kwa kuwatumia sms watu wa mikoa ya nyanda za juu kusini, naomba msaada nitumie software IPI? Ama APi zipi niweze kufanikiwa. Nataka msg ziende zikiwa na sender name ya biashara Yangu na pia ikiwezekana ziweze kumtaja jina MTU ninayemtumia. Naombeni msaada pia wa jinsi gani nitaweza kupata database ya majina ninayoyahitaji na maelekezo ya jinsi ya kuyatumia niwwze kufanikiwa.
 
Back
Top Bottom