naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,438
Wakuu kuna LapTop nilinunua wiki jana lakini nimeshindwa kuitumia kwa sababu ya Keyboard setting yake, yaani kila nikiwa nina type nikibonyeza baadhi ya button inaandika namba.
Mfano nikibonyeza button ya M inaandika 6, nikibonyeza P inaandiKa 0, hivyo hivyo na button nyingine nyingi kama J,K,L, tafadhali wakuu naombeni msaada kwa yeyote anayejua jinsi ya kumaliza tatizo hili maana ata sioni raha ya kuwa na hii PC.