Rutakyamilwa
JF-Expert Member
- Feb 27, 2009
- 1,871
- 1,242
Wataalamu, naweza kuhamisha clip toka kwenye computer kwenda kwenye flash yangu? If so nafanyaje!
hajui ndio maana ameulizaHivi hujui au unatania?
Sitanii. Kuna clip kwenye website ya education material. nataka niikopi kwenye flash yangu niicheze darasani kwenye screen kubwa.Hivi hujui au unatania?
Ila nimei-bookmark isipotee!Hivi hujui au unatania?
Ila nimei-bookmark isipotee!