Msaada namna ya kutumia app ya whatsapp & instragram kwenye pc

mwita burure

Senior Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
192
Reaction score
39
ndungu wana jf habari za wakati naomba msaaada wenu please je kuna utaaramu wa kudownlod app ya WhatsApp and instragram kwenye pc please mwenyewe ufahamu anielekeze
 
Kuna software inaitwa bluestack! Download hyo kwanza alafu install ktk pc yako!! Then download apk file la whatsap.ukishamaliza nalo install kwa kudouble click, baada ya hapo utafungua ile program ya bluestack kutokea destop au pale chini upande wa kulia kwenye saa ya pc!! Ikishafunguka ndani utaikuta whatsap yako na apps zingne!
 
Hiyo softwhere una download kivip?
 
ndungu wana jf habari za wakati naomba msaaada wenu please je kuna utaaramu wa kudownlod app ya WhatsApp and instragram kwenye pc please mwenyewe ufahamu anielekeze
Pia usipotaka kudownload what app unafungua what app web then kibox cheusi Fulani kina nembo ya whatsapp kati then unafungua what's app web pia kweny simu yako alafu inakua km inajiscan wakati huo Ile web ya sm ina iscan web ya computer yako then inajifungua kwny cm!
 
mkuu kama sina smart phone na nataka kutumia whatsapp kwenye pc nafanyaje...?
 
Back
Top Bottom