Wataalam naomba mnisadie..nikiweka line ya vodacom kwenye phone ya galaxy note 4 haiko detected kwasababu sipati majina niliyosave kwenye line wala sipati option ya sim card kwenye contacts to...
Husika na kichwa cha habari hapo juu simu tangu aina ya techno c8 inaniandikia memory full ata kama inaonyesha kuna free space hata mb 200, nini tatizo na nifanyaje?
Habari wana jf,
Nina simu yangu nokia 2690. Naipenda sana. Ila nilikua na install apps kubwa kubwa inakubali. Nili install opera mini hadi 8.1 ikakubali ila haikuchukua mda ikacollapse, imefuta...
Leo nataka tufanye analysis/ uchambuzi juu ya hivi visimbusi.
Ni kipi bora kwa muonekano wa channel???
Kipi kina channel nzuri???
Kipi kina local channel bure bila kulipia??
Kipi kina vifurushi...
Poleni majukumu wakuu?
Nina simu yangu aina ya galaxy s3 nikiiweka tu kwenye chaji lazima ijiwashe na haiwezi kuchaji ikiwa imezima, mwenye kujua jinsi ya kusolve hii case anisaidie.
Wanajamvi ninaomba msaada wa jinsi ya kupata spam messages zilizofutika katika email yangu.
Nilifanya application under NACTE na password pamoja na username Vilitumwa ktk email yangu Kama spam...
Mimi natumia modem ya tigo huawei e303 nimejalibu kui unlock iwe inatumia mitandao yote nimeshidwa.
Kwa anaejua naomba anisadie maana nimeteseka kweli.
Salam ndugu zangu.
Mimi ni mwanafunzi wa Computer science mwaka wa kwanza.
Nataka ku base kwenye mambo ya security, database, app development, web creation na upande wa server.
Mimi nataka...
Habarini....Itakumbukwa kuwa nilokuja hapa na Thread ambayo nilielezea jinsi yule jamaa alivyo niibia baada ya kunambia angeniuzia Mackbook pro kwa Laki 2.5! yule jamaa anae jifanya anatokea...
Hey guys mimi nahitaji kuwa mmojawapo wa hackers hatari zaidi duniani,je ni course zipi za kusomea ambazo ni za muhimu for someone to become a hacker ? Msaada tafadhali
Habari wakuu!
Naombeni mnipe maujanja ya nisipelekwe youtube app ninapokuwa ninastream kwa kutumia browser ya Opera Mini,shida yangu ipo hapo tu kwenye opera mini,browser nyingine kama default...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.