Nataka kununua Modem

Nataka kununua Modem

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
733
Reaction score
570
WAKUU Ni kampuni gan ya Simu Ina toa modem nzuri za internet kwa matumizi ya laptop ... na Ni kampun gan ambayo Ina limitless internet ...: mimi mpenzi wa online movies so naomba msada wenu
 
Subiri hapohapo, ngoja vijana wa ICT wakuje.
 
WAKUU Ni kampuni gan ya Simu Ina toa modem nzuri za internet kwa matumizi ya laptop ... na Ni kampun gan ambayo Ina limitless internet ...: mimi mpenzi wa online movies so naomba msada wenu
wacheki halotel,mi ndio natumia modem yao,sijawahi kupata kasoro ya kulalamika...
 
hiyo
 
Attachments

  • halotel modem.png
    halotel modem.png
    11.3 KB · Views: 139
Halotel wanauza elfu 35 pale mobile plaza ubungo, natumia mwezi wa 4 sasa naona inadunda vizuri
 
kama una uwezo wa kupata simu ni bora zaidi, modem nyingi siku hizi hazina speed ya kutosha hasa vile tumeshaingia ulimwengu wa 4g. ukiwa na simu signal zitakuwa na nguvu zaidi kuliko modem pia utatumia mitandao yote.

cheki site kama kupatana simu used za 4g unaweza zipata around 100,000 hadi 150,000 na mpya zipo around 200,000 madukani na kwenye mitandao ya simu.

kwa 3g simu used zipo za kumwaga, bei hizo hizo za modem
 
Sawa ntachek iyo
 
Njoo nikuuzie modem mpya kabisa ya kisasa ya Airtel. Haijatumika bado. Niliinunua buku 45 but ntakupa kwa buku 35 tu. Airtel ndo mtandao bomba zaidi hasa kwa vifurushi. Nichek inbox ukitaka.
 
kama una uwezo wa kupata simu ni bora zaidi, modem nyingi siku hizi hazina speed ya kutosha hasa vile tumeshaingia ulimwengu wa 4g. ukiwa na simu signal zitakuwa na nguvu zaidi kuliko modem pia utatumia mitandao yote.

cheki site kama kupatana simu used za 4g unaweza zipata around 100,000 hadi 150,000 na mpya zipo around 200,000 madukani na kwenye mitandao ya simu.

kwa 3g simu used zipo za kumwaga, bei hizo hizo za modem
Acha uongo!
 
Huo wote ulioandika hapo juu. Kunukuu sehemu ya uongo wako itakuwa ni kuendelea kupromote uongo 😀😀😀
Hili swala la modem za 4G kuwa ni signals hafifu hilo ni kweli, mi ninayo modem ya 4G naona ni upuuzi, pia modem nyingi za 3G speed ikienda Sana 22mbps ila nyingi ni 7mbps, hapo wakati simu nyingi zenye 3G huwa zina range 10-42mbps na kama ukiunga wireless tethering speed za simu huwa ni kubwa kuliko hizo modem. Kwa mfano hiyo modem yako ya halotel ni 21.6mbps wakati huawei y625 ni 42mbps.
 
Kama una smartphone haina haja ya kununua moderm unafanya tu teathering & hotsport unaunganisha.....
 
Back
Top Bottom