How to Unlock Airtel Huawei E303h-1 Hi link

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,745
2,338
Hii Modem imenishinda kuichakachua kwa kutumia switchprojectModem ile alio Post gkiwango
Adress yake iko unique http://192.168.8.1/html/home.html tofauti na zile za Vodacom Hilink

Pia nikiweka Line ambayo siya Airtel naombwa Unlock codes lakini naambiwa attempts ziko 0 wakati ni mpya sijajaribu kuifanyia kitu chochote

re8QmM.png
 
Last edited by a moderator:
leo nimeweza ku siwtich project mode from Web UI to serial port ila nilipoi flash kwa kutumia ile Firmware ya Tigo Huawei e303h-1 ndo imekua safari yake ya kuelekea mbinguni haisomi tena port wala haisomi tena kwenye Web
so to say nime brick tayari
 
unaweza kurepair ikawa sawa
 
leo nimeweza ku siwtich project mode from Web UI to serial port ila nilipoi flash kwa kutumia ile Firmware ya Tigo Huawei e303h-1 ndo imekua safari yake ya kuelekea mbinguni haisomi tena port wala haisomi tena kwenye Web
so to say nime brick tayari

Daah umenichekesha sana mkuu...tupo wengi
 
Niko nazo mbili Huawei E303s-1 na Huawei 303H-1 zote hazisomi port

jaribu hii download driver hizi hapa http://dl.dropbox.com/s/3elrp71t6ahqywc/Huawei-HiLink-Drivers.zip na firmware yake hii http://dl.dropbox.com/s/bm2v29mjoe75dda/E303HiLink11.010.06.02.910.exe na huawei code generator http://dl.dropbox.com/sh/62diqnnlhmohygt/HwJUFNnQ8H/Huawei e372/Huawei Unloker.zip extract then install driver kisha connect modem yako then install hiyo firmware kisha ukimaliza jaribu
 
hii kubrick modem inasababishwa na weka wrong fimware yaan usiweke firmware inayoanziwa na 22. kwenye 21. 22 ni HiLink na 21. ni Non-HiLink
 
jaribu hii download driver hizi hapa http://dl.dropbox.com/s/3elrp71t6ahqywc/Huawei-HiLink-Drivers.zip na firmware yake hii http://dl.dropbox.com/s/bm2v29mjoe75dda/E303HiLink11.010.06.02.910.exe na huawei code generator http://dl.dropbox.com/sh/62diqnnlhmohygt/HwJUFNnQ8H/Huawei e372/Huawei Unloker.zip extract then install driver kisha connect modem yako then install hiyo firmware kisha ukimaliza jaribu

Nikitoka job nitajaribu kama itatufaa au laa.
mrejesho mida hiyo mwana.
 
cha msingi nikuweka firmware sahihii kama ulikuta 21. Weka hiyo na kamu ulikuta 22. Kisha weka driver kama njunwa wamavoko ailivyosema ukiweka tofauti na firmware ya hilink maana yake utatumia dashboard nasio web ui kama nivyo lazima uwe na dashboard ya huawei kama huna huwezi ukatumia modem hako maana sio hilink tena na software ya hilink haifanyi kazi tena lazma uwe na dashboard ya huawei
 
Last edited by a moderator:
jaribu hii download driver hizi hapa http://dl.dropbox.com/s/3elrp71t6ahqywc/Huawei-HiLink-Drivers.zip na firmware yake hii http://dl.dropbox.com/s/bm2v29mjoe75dda/E303HiLink11.010.06.02.910.exe na huawei code generator http://dl.dropbox.com/sh/62diqnnlhmohygt/HwJUFNnQ8H/Huawei e372/Huawei Unloker.zip extract then install driver kisha connect modem yako then install hiyo firmware kisha ukimaliza jaribu

kwanza kabisa nasema samahani kwa kuchelewa kuleta feedback na kushukuru kwa kuendelea kuwa na moyo wa kusaidia panapo bidi...Nilichelewa kuleta mrejesho maana Computer yangu yenye Windows 8.1 haiwezi soma modem za Huawei na sijui husababishwa na nn hivo ilinibidi kuazima kwanza kwa mtu mwenye windows 7

Mrejesho wangu ni kwamba kitu imekataa
Ikumbukwe kwamba Modem haisomi Port tena hivo sidhani kama drivers ndo zinaisababisha isisome port

Naomba muongozo zaidi mkuu....
 
Umenena kweli kamanda kitu bado haijasaidia maan modem aidetect kabisa port so hata ukiweka driver bila bila.
All in all naona hii modemu yangu ya tigo 14.4 mbps ndo basi tena ishajifia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom