Tecno N2 imegoma kufunguka

Tecno N2 imegoma kufunguka

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,700
Reaction score
9,070
Wakuu habari zenu kuna simu ya tecno N2 ilisumbua nikarestore factory setting sasa tatizo ili kurudi tena inadai uingize email ya kwanza kabisa yaani google account iliyotumika mwanzoni nikiingiza inasema password error nimejaribu kuingia gmail kureset password napo hola wataalam wa it nisaidieni hapo cc Chief mkwawa
 
Mwambie akupe password inayoomba
Amenipa ila imekataa inaonekana amesahau nimejaribu njia kibao ila imeshindikana kuna moja inaitwa by inspecting element ila inataka ujue proggraming
 
Unafanya mambo mengine kama calls,SMS n.k?
 
Kama hutajali ibrand upya ie samsung, sony au iPhone, usijaribu kui rebrand majina ya kungfu maana yanaweza kuzidisha kabali. Tumia maker pen.

Teh teh tehhhh.
N.b hata msibani watu hucheka kidogo.
 
Back
Top Bottom