manufacturing mode: level [ 67] error on DELL D 610

mnyongeni

Senior Member
Dec 6, 2011
141
24
JAMANI NIMEWASHA COMPUTER YANGU YA DELL 610, NIKAKUTANA NA TATIZO HILI '' MANUFACTURING MODE: LEVEL '67'''''PRESS FN + X TO RETURN THE SYSTEM TO NORMAL MODE'. NIKI PRESS fn x haifanyi kazi badala yake inaniambia warning batterry is critically low hit F1 to continue niki bofya F1 inanipa massage hii, the computer is docked and only battery power is detected. this can happen if the power adopter is missing, the power cord is unplugged, or the computer is not well docked to the docking station. you should undock, redock, attach a power adapter, or plug in the power cord. strike the f1 key to shutdown. nikiibofya hakuna mabadiliko please help me am stuck
 
jaribu zima computer chomoa plug ya umeme kuchomoa battery halafu baada kama dakika tano wacha computer bila ya battery wakati inaanza kuwaka pess F8 chagua ku booty kwa safemode ukifanikiwa jaribu ku restore baada ku restate tena ikikubali intall driver za bios ambazo zinapatikana ktk website ya Dell
 
nimejaribu njia yako lakiki imegoma ,wazo jingine pleeeseee!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ok jaribu kufanya kitu kimoja nyuma ya laptop yako kuna vifuniko v2 fungua nyoye kimoja kina ram toa zote na kingine kina cmos battery kabetry utakaona kamviringo nakamezungushiwa insulator na tuwaya tuwili chomOa hapo kwenye plagi pia halafu toa bettry kubwa hiyo rechargable then kaa kama dk 20 halafu chomeka power cabble Bila kurudisha kitu hata k1 kati ya ulivo toa alafu washa hapo haita dsply chochote subir dk 5 chomoa power rudishia kila kitu thn jaribu kama itakuwa pouwa.. ila unapo toa ram kama comp yako inazo mbili nyingine inakuwa chini ya keyboard so kama unaweza toa kb chomoa ram zote. If not jaribu badirisha adopter kama bado utanipa jibu nikupe njia nyingine ambayo ni advanced zaidi.
 
ok jaribu kufanya kitu kimoja nyuma ya laptop yako kuna vifuniko v2 fungua nyoye kimoja kina ram toa zote na kingine kina cmos battery kabetry utakaona kamviringo nakamezungushiwa insulator na tuwaya tuwili chomoa hapo kwenye plagi pia halafu toa bettry kubwa hiyo rechargable then kaa kama dk 20 halafu chomeka power cabble bila kurudisha kitu hata k1 kati ya ulivo toa alafu washa hapo haita dsply chochote subir dk 5 chomoa power rudishia kila kitu thn jaribu kama itakuwa pouwa.. Ila unapo toa ram kama comp yako inazo mbili nyingine inakuwa chini ya keyboard so kama unaweza toa kb chomoa ram zote. If not jaribu badirisha adopter kama bado utanipa jibu nikupe njia nyingine ambayo ni advanced zaidi.

nimejaribu na njia yako mkuu, lakini tatizo bado liko pale pale, labda unipe hiyo advanced.
 
Hili tatizo hata mie limenitoa jasho maana nimeingia forums mbali mbali bila kupata ufumbuzi so nilichofanya ni kuigeuza spare ile pc ili kupunguza Hasara.
Any way endeleeni kuwasubiri wakina MziziMkavu e2themiza NingaR chief-mkwawa, fadhil paulo na wengineo kama watakuwa na jipya
 
Last edited by a moderator:
Leo nimekutana na tatizo hili, nadhani hapa hawakutoa mrejesho lkn walipata solutions. Tusaidiane......
 
JAMANI NIMEWASHA COMPUTER YANGU YA DELL 610, NIKAKUTANA NA TATIZO HILI '' MANUFACTURING MODE: LEVEL '67'''''PRESS FN + X TO RETURN THE SYSTEM TO NORMAL MODE'. NIKI PRESS fn x haifanyi kazi badala yake inaniambia warning batterry is critically low hit F1 to continue niki bofya F1 inanipa massage hii, the computer is docked and only battery power is detected. this can happen if the power adopter is missing, the power cord is unplugged, or the computer is not well docked to the docking station. you should undock, redock, attach a power adapter, or plug in the power cord. strike the f1 key to shutdown. nikiibofya hakuna mabadiliko please help me am stuck
Mkuu ulifanikiwa?
 
Back
Top Bottom