nitafute 0672231880 nione kama naweza kukusaidia..wakuu habari, nina laptop yangu ambayo imeanguka na kushindwa ku start, kwenye analysis fundi ananiambia hard disk ndio mbovu, sasa naomba msaada wa namna ya ku recover data kwenye hiyohard disk kwani ina vitu vyangu vya muhimu ...shukrani
nitafute 0672231880 nione kama naweza kukusaidia..
Toa ujuzi sasa na wengine tujifunzenisharekebisha mkuu, uzi ni wa kitambo kidogo, thanks anyway
Powaaa..... Ahsantenilipeleka kwa fundi, yupo posta red cross